Mwanzo hadi Mwisho
Mshirika wako wa Kuaminika katika maswala ya Forodha na Huduma za Usafirishaji
Kuhusu Sisi
Ijue Alte Logistics, kampuni iliyoibuka upwa kama mtoa huduma za usafirishaji na iliyojiimarisha kwa kuwa na uzoefu mkubwa wa kitamaifa kuhusu maswala ya usafirishaji na uwakala wa forodha.
Timu yetu imesheheni wataalamu wenye uzoefu, ambapo kila mmoja analeta utajiri wa maarifa na ujuzi wa miaka mingi walionao katika tasnia hii. Alte Logistics ni salama na ya kuaminiwa sana katika tasnia hii ya mnyororo wa usafirishaji, kwani imejengeka juu ya kanuni za usalama, uwazi na bei za ushindani. Tumejipanga ipasavyo kutoa huduma zenye viwango bora zaidi katika usafirishaji na usimamizi wa mizigo yako kwa uadilifu wa hali ya juu ili kuhakikisha usalama wa mizigo yako.
Fanya kazi nasi ili uweze kuona uzoefu wetu katika uwakala wa forodha na usafirishaji ambao unaendana na kasi ya mabadiliko ya kibiashara katika ulimwengu wa sasa.
Huduma Zetu
Wakala wa Forodha
Msingi mkuu wa biashara ya kimataifa ndani ya Alte ni uwakala wa forodha.
Usafirishaji wa Barabara
Huduma zetu za usafirishaji kwa njia ya barabara ni za kuaminika, zenye ufanisi na salama.
Usafirishaji wa Baharini
Usafirishaji wa baharini (majini) unaofanywa na Alte Logistics unaunganisha mabara na kufungua fursa za biashara duniani kote.
Usafirishaji wa Bidhaa za Thamani
Alte Logistics tuna uzoefu mkubwa sana wa kusafirisha bidhaa zenye thamani kubwa, tunazingatia sana itifaki na ufuatiliaji wa kutumia teknolojia za kisasa masaa yote.
Alte Logistics
Kwanini Utuchague Sisi
Miongo Mingi ya Umahiri Katika Usafirishaji Mizigo
Ingawa Alte Logistics ni jina jipya katika soko, timu yetu ina wataalamu ambao wamejitolea ipasavyo kutumia ujuzi wao wa kiwango cha kimataifa kukurahishishia maswala ya forodha na usafirishaji wa mizigo yako. Uzoefu huu tulionao unamhakikishia kila mteja wetu kupata huduma za kiforodha na za usafirishaji zilizo bora, nzuri na zilizoratibiwa katika viwango vya kimataifa.
Kujitolea kwa Usalama na Uwazi bila Kubadilika
Usalama wa mizigo yako na amani ya nafsi yako ni mambo muhimu sana kwetu. Tunazingatia hatua madhubuti za kiusalama na kukuwezesha kuona na kujua kila hatua ilipofikia mzigo wako tangu unapoanza kusafirishwa hadi unapofika mahali unapohitaji.
Mikakati Iliyoboreshwa ya Usafirishaji
Hatuamini katika mbinu na msemo usemao kikubwa kimoja kinawatosha wote. Mbinu tunazozitumia katika kutoa huduma zetu ni kuhakikisha kuwa unapata huduma stahiki, mahsusi, zenye ufanisi za gharama nafuu kwa ajili ya biashara yako.
Mawasiliano
Wasiliana na Alte Logistics kwa huduma za kibinafsi na suluhisho za kilaatam kwa mahitaji yako yote ya usafirishaji bidhaa.
Tupigie simu, tutumie barua pepe au jaza fomu yetu liyopo mtandaoni, na timu yetu makini itahakikisha kuwa swala lako linashughulikiwa kwa umakini na ufanisi wa hali ya juu.
Mahali
ALTE LOGISTICS LIMITED,
PLOT NO. 43/52, SAMORA AVE.,
NHC HOUSE, MEZZANINE FLOOR,
OFFICE NO. MZ 12,
P. O. BOX 12175.
DAR ES SALAAM, TANZANIA.
Barua pepe
info@altelogistics.com
Simu
+255 712 691 793